Nitume Mimi inakusaidia
wewe kuendelea na mambo yako ya msingi na kukuepushia usumbufu wa kukaa foleni
kulipia bill za matumizi yako.
Nitume Mimi itakuja
nyumbani au ofisini kwako kuchukua Bill yako na kwenda kulipia ofisi husika,
kisha unarudishiwa ilipochukuliwa pamoja na risiti ya malipo.
MALIPO YA ADA NA BIMA
Nitume Mimi inasaidia
kukufanyia malipo ya Ada mbalimbali pamoja na Bima za aina mbalimbali
utakazohitaji tukufanyie kwa haraka na wakati.
¨
Malipo ya Bima zote
¨
Malipo ya Ada aina zote
WASILIANA NASI KWA;
SIMU: 0678 210 001,
0712 479 905,
0765 480 008
E-MAIL: huduma@nitumemimi.com




0 comments:
Post a Comment