Mambo Mapya

Sunday, September 17, 2017

HUDUMA KWA SEKONDARI NA WANAVYUO



    SHOOL AND UNIVERSITIES

Nitume Mimi inamsaidia Mwanafunzi anayetarajia kuripoti kwa mara ya kwanza katika shule au chuo alichopangiwa.

Mwanafunzi husika (mwanachuo au secondary) utapokelewa vizuri na kupelekwa mpaka shule au chuo husika au mahali atakapokuwa anahitaji kupelekwa na kufikishwa salama kabisa.


Kama itakulazimu kutafutiwa mahala pakulala (Hotel/Lodge) kabla ya kufika unapotaka kufika, basi NITUME Mimi itakutafutia mahala pazuri kwa gharama sawa sawa na fedha utakayoweza kulipia.

Pia NITUME Mimi inasaidia katika shughuli za mahafali ya kumaliza masomo kwa kumuandalia na kusimami shughuli nzima ya sherehe yake kwa kutafuta na kuandaa ukumbi, picha na chakula.

 Hata hivyo NITUME Mimi (Kwa baadhi ya vyuo na shule) imepata kibali cha kumsaidia mhitimu kwa kumshikia siti yake atakayokaa siku ya mahafali pamoja na kumchukulia mhitimu Joho lake (Nguo Ya Mahafali) kisha tutamfulia na kuinyoosha vizuri na Mhitimu kukabidhiwa likiwa safi.
 
Na mara baada ya kumaliza shughuli za mahafali atatupatia hiyo Nguo ya mahafali kwa lengo la kuirudisha kwa chuo husika. 



WASILIANA NASI KWA;
SIMU: 0678 210 001,
            0712 479 905,
            0765 480 008
E-MAIL: huduma@nitumemimi.com




  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: HUDUMA KWA SEKONDARI NA WANAVYUO Description: Rating: 5 Reviewed By: mcjohnminja.blogspot.com
Scroll to Top