Mambo Mapya

Saturday, September 16, 2017

HOTEL KWA MOROGORO - TANZANIA





Epuka hofu ya Kutapeliwa au kutokuwa na uhakika na bajeti yako kwa mahali pakulala penye hadhi nzuri kwa gharama sawa sawa na huduma itolewayo

NITUME Mimi inakusaidia kukutafutia Hotel au Lodge kulingana na hitaji la mteja,
Tunafanya zaidi ya ubora kwa kukufanyia Booking kwa hotel/lodge utakayoichagu kati tutakazokupendekezea au utakayoitaka wewe kulingana na gharama utakayoimudu.

Huduma hii ni ya kipekee sana kwani kama wewe ni mgeni tutakupokea stendi na kukupeleka hadi kwa eneo lako husika

Lakini kwa wenyeji tutakutafutia na tutakuja kukuchukua ulipo na kukupeleka au kumpeleka mgeni wako eneo husika.

NITUME Mimi inakusaidia Kukutafutia na kukufanyia maandalizi kwa Ukumbi wa Kufanyia Tukio lako (Semina/Mkutano/Sherehe n.k)

NB;
Huduma hii kwa sasa inatolewa kwa Maspaa ya Morogoro (maandalizi kwa maeneo mengine yanafanyika)


WASILIANA NASI KWA;
SIMU: 0678 210 001,
            0712 479 905,
            0765 480 008

E-MAIL: huduma@nitumemimi.com
 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: HOTEL KWA MOROGORO - TANZANIA Description: Rating: 5 Reviewed By: mcjohnminja.blogspot.com
Scroll to Top