Nitume Mimi kupitia timu
yake ya wanasheria na Mawakili..
imedhamiria kutoa
Huduma ya Ushauri na Usajili wa Makampuni kupitia Mamlaka ya Usajili Brela Kwa
gharama nafu sana.
ANNUAL RETURN - BRELA
Nitume Mimi inakusaidia
kwenda kufanya Malipo ya kila mwaka ya Kampuni yako Brela.
BUSINESS NAME
Pia Nitume Mimi inasaidia
kufanya usajili wa jina la biashara yako.
Huduma zote hizi
hazikulazimu wewe kutoka pale ulipo… Tunakuhudumia huko huko!
WASILIANA NASI KWA;
SIMU: 0678 210 001,
0712 479 905,
0765 480 008
E-MAIL: huduma@nitumemimi.com



Hongera sana *Nitume mimi* hakika ninyi ni sulihisho la mambo mengi Morogoro na Tanzania.
ReplyDelete