Mambo Mapya

Wednesday, September 13, 2017

IJUE VYEMA NITUME Mimi Services


Kama unahitaji viungo vingine kwa ajili ya kukamilisha shughuli zako zingine….. basi tambua uwepo wa NITUME Mimi Services.

NITUME Mimi Services imeanzishwa kwa makusudio maalumu ya kufanya mambo ya watu wanaotamani kufanya jambo Fulani lakini kwa kukosa nafasi au kutofamu vyema pahali pakupata hitaji husika na wanashindwa kutekeleza.

NITUME Mimi Services ilianzishwa na Ndugu John Minja baada ya kujikuta anakuwa msaada kwa watu wengi tofautitofauti waliomfahamu kwa Uaminifu wake sambamba na utendaji kazi wake kwa Haraka na Usalama katika hali ya ubora.

John aliamua kuanzisha biashara/huduma ya NITUME Mimi Services kwa malengo ya kutoa huduma kwa usawa na utu kwa kila mteja husika.

NITUME Mimi Services. Tangu ilipoanza na kukuwa kutokea kwa mhudum mmoja (John Minja) na kukua hadi kupata ongezeko la wahudumu imekuwa msaada kwa watu wengi kwa kurahisisha mahitaji yao kwa wakati, haraka na ubora uleule alioutaka.

KWANINI Sisi?
Tuwasilisha Huduma Kwa Wakati Na Ubora
Tunaheshimu Na Kutambua Nguvu Ya Sheria Kwa Kila Huduma Zote
Tunazingatia Utu, Usawa, Haki Na Uwajibikaji
Kufanya Kazi Kama Timu Kwa Huduma Ya Mteja Wetu
Tunatoa Huduma Kwa Kuzingatia Taaluma Ya Hitaji Husika
Kumuangaikia Mteja Kwa Huduma Aliyohitaji Toka Kwetu Kwa Nguvu Zoote
Tunakamilisha Hitaji La Mteja Kwa Ubora Wa Juu.

Maono yetu (Vision); kupigania utoaji wa huduma bora na siyo kutafuta  kuwa namba moja
Mipango yetu (Mission); kuwa njia ya mtu  kufikia kilele cha mafanikio yake

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: IJUE VYEMA NITUME Mimi Services Description: Rating: 5 Reviewed By: mcjohnminja.blogspot.com
Scroll to Top